← Rudi kwa Habari Zote
SHIMMUTA inatoa pongezi za dhati kwa timu ya mpira wa miguu ya wanawake, Tanzanite Queens, kwa kufuzu Kombe la Dunia Poland 2026.
Mafanikio haya ni fahari kwa Taifa na yanaonyesha ukuaji wa michezo ya wanawake nchini. SHIMMUTA inaendelea kuunga mkono ushiriki na maendeleo ya wanawake katika michezo.
Chanzo: Instagram @shimmuta_tz
https://www.instagram.com/shimmuta_tz/p/DYKzr5sDJ6M/
Endelea Kusoma