Mwanzo Habari

Habari za Shimmuta

Habari, Matangazo na Matukio ya Michezo

50+
Matangazo
12+
Michezo
100+
Washiriki
Matangazo 08 Aprili, 2022

MICHEZO YA SHIMMUTA KWA MWAKA 2022

Uongozi wa Shirikisho la Michezo ya Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA) katika Mkutano wake wa Halmashauri Kuu uliofanyika tarehe 08 Aprili, 2022, katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma (IRDP) uliazimia kuwa, michezo ya Shirikisho kwa mwaka 2022 itafanyika Mkoani Tanga kwenye Uwanja wa Mkwakwani kuanzia tarehe 15 hadi 29 Novemba, 2022.

Michezo Itakayoshindaniwa:

Mpira wa Miguu
Netiboli
Kuvutana Kamba
Kukimbia (Gunia)
Riadha
Vishale (Darts)
Mpira wa Wavu
Mpira wa Kikapu
Pool Table
Drafti
Bao
Karata

Mgeni Rasmi kwenye ufunguzi wa Michezo ya Mwaka huu Mkoani Morogoro, atakuwa Mlezi wetu, Mheshimiwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Michezo, Matangazo, Shimmuta 2022
MICHEZO YETU

Aina za Michezo

Michezo mbalimbali tunayoicheza na kuisimamia katika SHIMMUTA

Hakuna michezo iliyoorodheshwa kwa sasa. Tafadhali rudi baadaye.