UJIUNGE SASA
Jiunge na SHIMMUTA
Taasisi yako inaweza kujiunga na Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania
Usajili wa Taasisi
Maelezo Muhimu
- Maombi yako yatahakikiwa na utapokea majibu ndani ya siku 7 za kazi
- Baada ya kuidhinishwa, utaweza kusajili wachezaji wa taasisi yako
- Taarifa zote zitahifadhiwa kwa usalama na hazitashirikiwa na watu wengine
- Kwa maswali zaidi, wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyoonyeshwa
Usajili wa Mchezaji
Kuelekea kwenye mashindano ya SHIMMUTTA 2025 kila Mchezaji anapaswa kujisajii kupitia fomu Mtandao Hapa chini
Dirisha la Usajili litakuwa wazi mpaka Tarehe 26 Novemba 2025
Maelezo Muhimu
- Maombi yako yatahakikiwa na utapokea majibu ndani ya siku 7 za kazi
- Baada ya kuidhinishwa, utaweza pokea namba yako ya usajili katika Email yako uliyo tumia wakati wakujisajili
- Taarifa zote zitahifadhiwa kwa usalama na hazitashirikiwa na watu wengine
- Kwa maswali zaidi, wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyoonyeshwa